Mtasubiri

NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK, SIRAJU HAMISI MJEGE, ZUHURA OTHMAN SOUD

Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona, na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari

Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia  (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia oh unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia

Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri
Wanasubiri tuachane mtasubiri sana mtasubiri
(Oh, vuten kiti mkae)
Mtasubiri sana, mtasubiri

Oh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Oh baby vya chakuchaku vitanifuja
Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Oh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba

Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia

Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh)
Wanasubiri tuachane mtasubiri sana mtasubiri
Mtasubiri sana, mtasubiri

Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kеsho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini

Trivia about the song Mtasubiri by Diamond Platnumz

When was the song “Mtasubiri” released by Diamond Platnumz?
The song Mtasubiri was released in 2022, on the album “First Of All”.
Who composed the song “Mtasubiri” by Diamond Platnumz?
The song “Mtasubiri” by Diamond Platnumz was composed by NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK, SIRAJU HAMISI MJEGE, ZUHURA OTHMAN SOUD.

Most popular songs of Diamond Platnumz

Other artists of Electro pop