Kainama X Burna Boy X Diamond Platnumz

Konde Boy
They call me Burna
It's Platnumz
Eh eh eh eh!

Na you dey make me sit down dey sing this song
Gala gala
You come dey make me feel like I did you wrong
Jaga jaga
If you want am, I go give you more
Jara jara
Today today, you go give me love
Sawa sawa o, eh eh!
Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Burna Boy, twaeka kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wanaiita handsome
Konde Boy, twaeka kila sehem
Wanapagawa mpaka wanaiita (hii!)

Adeka bura kwa mandera
Rudi kwa bibi kinondoni
Amber Lulu kunja dera
Mwanangu Gigi simouni
Aje!

Ah inama (mama)
Ah inuka (baby show them)
Ah inama (ehehee)
Ah shika ukuta (waonyeshe ulivyofuzwa)
Ah inama (go down baby)
Ah inuka (give it to dem baby)
Ah inama (ehee!)
Ah shika ukuta (ruska kutunza)

Sio sura sio shepu, mi nikimuona taabani
Hivi si Nuna, sepetu, amanimuite jina gani?
Baby girl, your body killer (wee!)
Mwendo kama caterpillar
Miguu ya pombe tequila
She dey burst my mind
Ba mutu ba Congo Kabila
Madongo Lunyamila
And she’s so sweety, vanilla
She dey burst my mind
Ohohoo!
Nobody sexy like my baby
Hehehee!
Tena Mwepesi akiwa kwa bedi

Adeka bura kwa mandera
Rudi kwa bibi kinondoni
Amber Lulu kunja dera
Mwanangu Gigi simouni
Aje!

Ah inama (mama)
Ah inuka (baby show them)
Ah inama (ehehee)
Ah shika ukuta (waonyeshe ulivyofuzwa)
Ah inama (go down baby)
Ah inuka (give it to dem baby)
Ah inama (ehee!)
Mbbbrrroookkeeee
Ah shika ukuta (ruska kutunza)

Oya gaddem, mtoto nyau poli
Ana vimacholegezo gololi
Katika game, funga tu goli
Hatumalizagi mchezo ukae goli
Kilima kilima (panda kilima)
Baby kilima, hii!
Kisima kisima (namba kisima)
Nainga kisima
Nizame mpaka chini (ooh!)
Ebu! Yani katoto kachafu kama bata (eeeh)
Ah aah!
Nami nakafanya ndafu nakang'ata
Salamu ziende kwa wanjala
Doni, Maisha, kitasa kwenye bunyeru
Wambie Simba kacharara
Anataka msambwanda kwa buku jeru
Aje!

Ah inama (mama)
Ah inuka (baby show them)
Ah inama (ehehee)
Ah shika ukuta (waonyeshe ulivyofuzwa)
Ah inama (go down baby)
Ah inuka (give it to dem baby)
Ah inama (ehee!)
Ah shika ukuta (ruska kutunza)

Eh eh!
Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Burna Boy, twaeka kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Mbroke
Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Simba, ma vision nitashame
Vite madem nao nawapita handsome
Konde Boy

Most popular songs of Harmonize

Other artists of Afrobeats