Niambie

Hm hm
Hm hm
Mujini kipenzi silani shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana ah
Ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga aah
Oh oh

Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya unipende

Niambie
Tell me baby love
Oh basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo
Niambie
Oh basi niambie(Oh basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza roho
Hhhhm (aiy)

Sikuhizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea ndumba umenipendea rhumba
Vipi nikija kudunda oooh oooh
Usije mgezea punda ukaniachia ngunga
Wanakumendea chunga oooh oooh

Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende

Niambie(Tell me)
Tell me baby love(Tell me)
Oh basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo(Tell me)
Niambie
Oh basi niambie(Tell me ooh basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza roho

Umenipendea!!!! kipi mama(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo
Umenipendea!!!! kipi mama(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo

Most popular songs of Harmonize

Other artists of Afrobeats