Baikoko
Huba langu nilikupa sioniieeh upendo wangu ukautupa jahaniih kumbe
Doriani tamu mdomoni harufu puani usi
Na uzio ya chumbani wayatoa hadharani
Acha niupete niupete nisije ula chuyaah
Acha niyabwage niyabwage gubu sijazoeah×2
Ayaaah ayaaah aaaah ayaah
Wala si malumbano imejawa mifano wakileta maneno siwakohoi×2
Halo halo
Kiroho papo papo huba la roho yako×2
Singo nililosingwaah nimesingwa unyagoni kachiri wee funga mkanda
Mbona yako huyaneni acha nitete
Nitete roho yangu usikurupuke ukapoteza
Mudi yangu sikupata tafadhali
Unikeshesha hukujali yangu hali kutwa kunichoreesha
Wala si malumbano imejawa mifano wakileta maneno siwakohoi×2
Halo halo
Kiroho papo papo huba la roho yako×3