Nigande

Kama penzi maruani pandaaa nikuaguee
Kilingeni nipige manyanga kitatuliee
Likishapanda nilivike taji

Jini la mapenzi usivunje nazi
Kama kichanga nibembeleze mmmh
Soba ya mapenzi dawa nimeze

Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha

(Aaaah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aaaah nigandee)
Usiniache nishikiliee
(Aaaah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aaaah nigandee)
Usiniache nishikiliee

Wanini msumari me puto
Nitapasuka eeeh ahaa
Ndani mambo shwari
Sitaki ruka ruka eeeh ahaa

Kitambaa nifute jasho
Tupendane leo kesho ooh
Nifukize manukato, ooh ooooh eeeh

Njee sitotoa chako ooh
Acha wanile kwa macho ooh
Zabi zabi tumbo joto ooh oooh

Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
Usisome riwaya hadithi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha, ahhh

(Aaaah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aaaah nigandee)
Usiniache nishikiliee
(Aaaah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aaaah nigandee)
Usiniache nishikiliee

Most popular songs of Nandy

Other artists of Afrobeats