Moyo Wangu

Diamond Platnumz

Moyo wangu, moyo wangu mama ee
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu, moyo wangu mama ee
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee
Lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina
Jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi
Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina
Ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso
Tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara eee mara iiiii hata najuta kupendaaa

Moyo wangu, moyo wangu mama eye
Moyo wangu, moyo wangu ele
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu, moyo wangu mama eye
Moyo wangu, moyo wangu ele
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha
Wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina
Mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama
Tamu ya wali ni nazi ee, raha ya supu maandazi ee
Raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa
Na napata na radhi ee, nawakufuru wazazi eee
Kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa
Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie
Ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka
Kesho kutwa nzima mara eee mara iiiii hata najuta kupendaaaa

Moyo wangu, ee
Moyo wangu, mama ee
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu, ee
Moyo wangu, mama ee
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu, ee
Moyo wangu, mama ee
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu, ee
Moyo wangu, mama ee
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Trivia about the song Moyo Wangu by Diamond Platnumz

When was the song “Moyo Wangu” released by Diamond Platnumz?
The song Moyo Wangu was released in 2011, on the album “Lala Salama”.

Most popular songs of Diamond Platnumz

Other artists of Electro pop