Nimpende Nani?

Diamond Platnumz

Cha! Ah! Nimpende nani?
Nimpende, eh, eh nimpende nani?
Nimpende, ah ah nimpende nani?
Nimpende, eh, eh nimpende nani?
Nimpende, ah ah

Tai! We nilikuwaga na mpenzi
Akanizingua hivyo nataka mwenzi
Wa haya maradhi naugua isije siku miezi
Naye akanisumbua ikawa tena kitenzi
Mzigo kuutua

Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitenda
Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli
Wakanicha wakaenda

We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani? (Cha, ah)

Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah ah
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah ah

Yasiwe kama ya Wema Sepetu
Kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu
Mjuzi kupeti-peti
Usimtake ka 'Uwoya nimteme ana hasira
Mpole kama Jokate
Ila sauti ka' Wema akiwa analia
Kicheko kama cha Fetty

Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitenda
Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli
Wakaniacha wakaenda

We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani? (Cha, ah)

Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (eh, eh, eh)
Nimpende nani?
Nimpende, ah, ah (oh, nimpende nani?)
Nimpende nani?
Nimpende, eh, eh (mama ma, eh, eh)
Nimpende nani?
Nimpende, ah, ah (mi nimpende nani?)

We nilikuwaga na mpenzi akanizingua
Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua
We nilikuwaga na mpenzi akanizingua
Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua

Ayo and this is Platnumz, baby
G Records yo, KGT
Holla holla
Wasafi eti nani anenuna
Nani anenuna holla
It is what it is, man cha

Trivia about the song Nimpende Nani? by Diamond Platnumz

When was the song “Nimpende Nani?” released by Diamond Platnumz?
The song Nimpende Nani? was released in 2011, on the album “Lala Salama”.

Most popular songs of Diamond Platnumz

Other artists of Electro pop