Waache Waoane

Said Fella! TMK for life
Wasafi enhee he he
Check it out wasafi Records

Maji ya moto yamekuwa baridi la la la la la
Hakimu nimekuwa shahidi la la la la la
Ukishusha mateso ndo yanazidi la la la la la
Alioniliza ndio wa kunifariji la la la la la

Waache waoane waache waoane
Waache waoane waache waoane

Yame dhibitisha macho, lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho
Ni yule unayeona anayekufaa
Nilifumba mboni zangu
Kwa wengine ni muone yeye tu
Nikamwaga jasho langu
Japo kidogo' nile naye yeye tu
Mwambie' awe huru, wala si nto lalama
Ah ha ah ha
Sitaki kukufuru, wafunge ndoa salama
Ah ha ah ha

Waache waoane waache waoane
Waache waoane waache waoane

Oh ay, Anaye panga kugawanya huwaga
Ni mungu baba
Katu siwezi kulalama, ridhiki mafungu saba
Nimejitahidi sana, huenda sikumridhisha labda
Ila kinacho nichanganya, hakuniamba kabla
Oh! tena nakupa maua, umpelekee
Usije yatupa, naomba uya pokee
Oh! Na swala ntafunga, usiku ni waombee
Awape baraka muumba, watoto wa waletee eeaah

Platnumz waache waoane
Oh salimini salama waache waoane
Aye, wawe baba na mama waache waoane
Tena naeka na nadhiri waache waoane
Aku! si nto wasumbua

Maji ya moto yamekuwa baridi la la la la la
Hakimu nimekuwa shahidi la la la la la
Ukishusha tu mateso ndo yanazidi
La la la la la alioniliza ndio wa kunifariji
La la la la la

Waache waoane waache waoane
Waache waoane waache waoane

Aga' Japo moyo wangu 'kitete
Moyo wangu 'kitete ah, yarabi moyo 'kitete
Taratibu ntazoea moyo'kitete
Moyo wangu 'kitete mwenzenu moyo 'kitete
Taratibu ntazoea oh mama moyo 'kitete
Moyo hii'kitete oh! wangu moyo 'kitete
Moyo wangu mama eehaah

Aiyo, Laizer

Most popular songs of Diamond Platnumz

Other artists of Electro pop