Malaika [Live au palais du peuple]

FADHILI WILLIAM

Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika

Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Pesa
Zasumbua roho yangu
Pesa
Zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika

Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika

Trivia about the song Malaika [Live au palais du peuple] by Miriam Makeba

When was the song “Malaika [Live au palais du peuple]” released by Miriam Makeba?
The song Malaika [Live au palais du peuple] was released in 2011, on the album “Mama Africa”.
Who composed the song “Malaika [Live au palais du peuple]” by Miriam Makeba?
The song “Malaika [Live au palais du peuple]” by Miriam Makeba was composed by FADHILI WILLIAM.

Most popular songs of Miriam Makeba

Other artists of World music